×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zin… – 読むためのテキスト

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

初級1 スワヒリ語 の読み練習用レッスン

今すぐこのレッスンを開始

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE