×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 5- Ana Kazi Nyingi za Nyumbani

Musa yupo sekondari.

Ana kazi nyingi za nyumbani

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Musa hapendi kazi za nyumbani.

Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yake kubwa Musa.

Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa.

Nipo sekondari.

Nina kazi nyingi za nyumbani.

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Mimi sipendi kazi za nyumbani.

Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yangu mkubwa.

Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani.

Maswali:

1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari? Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari.

2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani? Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani.

3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari? Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake? Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake.

5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu? Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku? Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Je, Musa na Rachel ni ndugu? Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu. Rachel ni dada yake mkubwa Musa.

8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani? Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku.

Musa yupo sekondari. Musa ist in der weiterführenden Schule. Jon is in high school. Musa está en la escuela secundaria.

Ana kazi nyingi za nyumbani Er hat viele Hausaufgaben He has lots of homework. tiene mucha tarea Il a beaucoup de devoirs

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Rachel ist Studentin. Clare is a university student. Rachel es una estudiante universitaria. Rachel est étudiante à l'université. Rachel is een universiteitsstudent.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia. She has lots of homework, too. Él también tiene mucha tarea. Il a aussi beaucoup de devoirs.

Musa hapendi kazi za nyumbani. Jon does not like homework. A Musa no le gustan las tareas del hogar. Musa n'aime pas les travaux ménagers.

Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta. He likes to play on his computer. Le gusta jugar en la computadora. Il aime jouer sur l'ordinateur.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Clare likes reading and writing. A Rachel le encanta leer y escribir. Rachel aime lire et écrire.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. She does her homework every day. Il fait ses devoirs tous les jours.

Rachel ni dada yake kubwa Musa. Rachel ist Moses‘ ältere Schwester. Clare is Jon's older sister. Raquel es la hermana mayor de Moisés. Rachel est la sœur aînée de Moïse. Rachel is de oudere zus van Mozes.

Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani. Er lässt sie immer ihre Hausaufgaben machen. She always makes him do his homework. Él siempre la obliga a hacer sus deberes. Il lui fait toujours faire ses devoirs. Hij laat haar altijd haar huiswerk maken.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa. Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por Moisés. C'est cette histoire racontée par Moïse.

Nipo sekondari. I am in high school. Estoy en la escuela secundaria. Je suis au lycée.

Nina kazi nyingi za nyumbani. I have lots of homework. J'ai beaucoup de devoirs.

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Clare is a university student. Rachel est étudiante à l'université.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia. She has lots of homework, too. Il a aussi beaucoup de devoirs.

Mimi sipendi kazi za nyumbani. I do not like homework. Je n'aime pas les devoirs.

Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu. I like to play on my computer. J'aime jouer sur mon ordinateur.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Clare likes reading and writing. Rachel aime lire et écrire.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. She does her homework every day. Il fait ses devoirs tous les jours.

Rachel ni dada yangu mkubwa. Clare is my older sister. Rachel est ma sœur aînée.

Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani. Er lässt mich immer meine Hausaufgaben machen. She always makes me do my homework. Il me fait toujours faire mes devoirs.

Maswali: Questions: Des questions:

1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari. One: Jon is a high school student. 1) Musa est un élève du secondaire. Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari? Is Jon a high school student? Musa est-il lycéen ? Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Yes, Jon is a high school student.

2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Two: Jon has a lot of homework. Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani? Does Jon have a lot of homework? Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Yes, Jon has a lot of homework.

3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Three: Clare is a university student. Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari? Is Clare a high school student? Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari. No, Clare is not a high school student. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu. she is a university student. Il est étudiant à l'université.

4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Four: Jon likes playing on his computer. Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake? Does Jon like playing on his computer? Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Yes, Jon likes playing on his computer.

5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Five: Clare likes reading and writing. Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu? Does Clare like watching movies? Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. No, Clare likes reading and writing.

6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Six: Clare does her homework every day. Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku? Does Clare do her homework every day? Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Yes, Clare does her homework every day.

7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Seven: Clare is Jon's older sister. Je, Musa na Rachel ni ndugu? Are Jon and Clare related? Moïse et Rachel sont-ils frères et sœurs ? Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu. Yes, Jon and Clare are related. Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Clare is Jon's older sister.

8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. 8) Rachel lässt Moses jeden Tag seine Hausaufgaben machen. Eight: Clare makes Jon do his homework every day. Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani? Does Clare make Jon do his homework? Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Yes, Clare makes Jon do his homework every day. Oui, Rachel demande à Moïse de faire ses devoirs tous les jours.