×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 20- Nilihitaji Kwenda Kazini

Agnes alihitaji kwenda kazini.

Alikuwa anajaribu kuwasha gari lake.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje, hivyo gari lake likawa haliwaki.

Kwanza akatazama ratiba za basi.

Angechelewa kama angechukua basi.

Kisha akatazama ratiba za treni.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda.

Akaamua kuchukua treni kwenda kazini.

Alikuwa akitarajia hatachelewa kazini.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Agnes.

Nilihitaji kwenda kazini.

Nilijaribu kuwasha gari langu.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje.

Hivyo gari langu halikuwaka.

Kwanza nilitazama ratiba za basi.

Ningechelewa kama nitachukua basi.

Kisha nikatazama ratiba za treni.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda.

Nikaamua kuchukua treni kwenda kazini.

Nilikuwa nikitarajia sitachelewa kazini.

Maswali.

1) Agnes anajaribu kwenda kazini. Je, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini? Ndiyo, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini.

2) Kulikuwa na baridi nje. Je, kulikuwa na joto nje? Hapana, hakukuwa na joto nje. Kulikuwa na baridi nje.

3) Gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. Je, gari la Agnes liliwaka? Hapana, gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje.

4) Baada ya hapo, Agnes alitazama ratiba za basi. Je, Agnes alitazama ratiba za treni kwanza? Hapana, hakufanya hivyo. Agnes alitazama ratiba za basi kwanza.

5) Agnes angechelewa kama angechukua basi. Je, Agnes angefika ndani ya muda kama angechukua basi? Hapana, angechelewa kama angechukua basi.

6) Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. Je, treni zilikuwa zinachelewa? Hapana, treni zilikuwa hazichelewi. Zilikuwa zinafika ndani ya muda.

7) Agnes aliamua kuchukua treni kwenda kazini. Je, Agnes aliamua kuchukua basi kwenda kazini? Hapana, Agnes hakuamua kuchukua basi. Aliamua kuchukua treni kwenda kazini.

8) Agnes alitarajia hatachelewa kazini. Je, Agnes alitaka kuchelewa kazini? Hapana, hakutaka kuchelewa kazini. Alitarajia hatachelewa kazini.

Agnes alihitaji kwenda kazini. Agnes musste zur Arbeit gehen. Alissa is trying to go to work. Agnès devait aller travailler.

Alikuwa anajaribu kuwasha gari lake. Er versuchte, sein Auto zu starten. She is trying to start her car. Il essayait de démarrer sa voiture.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje, hivyo gari lake likawa haliwaki. But it's too cold outside, So her car isn't starting.

Kwanza akatazama ratiba za basi. She checks the bus schedule first.

Angechelewa kama angechukua basi. The city buses are too slow.

Kisha akatazama ratiba za treni. She checks the train schedule instead.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. The trains are running on time.

Akaamua kuchukua treni kwenda kazini. She decides to take the train to work. Il a décidé de prendre le train pour aller travailler.

Alikuwa akitarajia hatachelewa kazini. She hopes she won't be late for work.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Agnes. Here is the same story told in a different way.

Nilihitaji kwenda kazini. I needed to go to work.

Nilijaribu kuwasha gari langu. I tried to start my car.

Lakini kulikuwa na baridi sana nje. But it was too cold outside.

Hivyo gari langu halikuwaka. So my car wouldn't start.

Kwanza nilitazama ratiba za basi. I checked the bus schedule first.

Ningechelewa kama nitachukua basi. The city buses are too slow.

Kisha nikatazama ratiba za treni. I checked the train schedule instead.

Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. The trains were running on time.

Nikaamua kuchukua treni kwenda kazini. I decided to take the train to work.

Nilikuwa nikitarajia sitachelewa kazini. Ich hatte gehofft, dass ich nicht zu spät zur Arbeit komme. I hoped I wouldn't be late for work.

Maswali. Questions:

1) Agnes anajaribu kwenda kazini. One: Alissa is trying to go to work. Je, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini? Is Alissa trying to go to work? Ndiyo, Agnes alikuwa anajaribu kwenda kazini. Yes, Alissa is trying to go to work.

2) Kulikuwa na baridi nje. Two: It's cold outside. Je, kulikuwa na joto nje? Is it hot outside? Hapana, hakukuwa na joto nje. No, it's not hot outside. Kulikuwa na baridi nje. It's cold outside.

3) Gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. 3) Agnes' Auto sprang nicht an, weil es draußen sehr kalt war. Three: Alissa's car won't start because it's too cold outside. Je, gari la Agnes liliwaka? Hat Agnes‘ Auto Feuer gefangen? Does Alissa's car start? Hapana, gari la Agnes halikuwaka kwa sababu kulikuwa na baridi sana nje. Nein, Agnes' Auto sprang nicht an, weil es draußen zu kalt war. No, Alissa's car won't start because it's too cold outside.

4) Baada ya hapo, Agnes alitazama ratiba za basi. Four: Alissa checks the bus schedule first. Je, Agnes alitazama ratiba za treni kwanza? Does Alissa check the train schedule first? Hapana, hakufanya hivyo. No, she doesn't. Agnes alitazama ratiba za basi kwanza. Alissa checks the bus schedule first.

5) Agnes angechelewa kama angechukua basi. Five: The city buses were too slow. Je, Agnes angefika ndani ya muda kama angechukua basi? Were the city buses slow? Hapana, angechelewa kama angechukua basi. Yes, the city buses were too slow.

6) Treni zilikuwa zinafika ndani ya muda. Six: The trains were running on time. Je, treni zilikuwa zinachelewa? Hatten die Züge Verspätung? Were the trains running late? Hapana, treni zilikuwa hazichelewi. No, the trains were not running late. Zilikuwa zinafika ndani ya muda. Sie kamen rechtzeitig an. they were running on time. Ils arrivaient à temps.

7) Agnes aliamua kuchukua treni kwenda kazini. Seven: Alissa decided to take the train to work. Je, Agnes aliamua kuchukua basi kwenda kazini? Did Alissa decide to take the bus to work? Hapana, Agnes hakuamua kuchukua basi. No, Alissa didn't decide to take the bus. Aliamua kuchukua treni kwenda kazini. she decided to take the train to work.

8) Agnes alitarajia hatachelewa kazini. Eight: Alissa hoped she wouldn't be late for work. Je, Agnes alitaka kuchelewa kazini? Did Alissa want to be late? Hapana, hakutaka kuchelewa kazini. No, she didn't want to be late. Alitarajia hatachelewa kazini. she hoped she wouldn't be late for work.