×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 19- Ninaenda Katika Mgahawa

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana.

Barnaba hakuja na chakula chake cha mchana kutoka nyumbani.

Inabidi anunue chakula cha mchana shuleni.

Anaenda katika mgahawa.

Anaona biskuti za chokoleti, na saladi.

Mama yake anataka ale saladi.

Lakini Barnaba anataka kula biskuti za chokoleti

Anafikiria kwa dakika.

Kisha, ananunua biskuti na kuzila.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Barnaba.

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana.

Sikuja na chakula cha mchana kutoka nyumbani.

Inabidi ninue chakula cha mchana shuleni.

Ninaenda katika mgahawa.

Ninaona biskuti za chokoleti, na saladi.

Mama yangu anataka nile saladi.

Lakini mimi ninataka kula biskuti za chokoleti.

Ninafikiria kwa dakika.

Kisha, ninanunua biskuti na kuzila.

Maswali.

1) Darasa la hesabu la Barnaba limemalizika muda sio mrefu. Je, darasa la hesabu limeanza muda sio mrefu? Hapana, darasa la hesabu halijaanza. Limemalizika muda sio mrefu.

2) Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. Je, ni muda wa chakula cha mchana? Ndiyo, ni muda wa chakula cha mchana. Ni mchana.

3) Barnaba hakuja na chakula cha mchana. Je, Barnaba alikuja na chakula cha mchana? Hapana, Barnaba hakuja na chakula cha mchana.

4) Anaenda katika mgahawa. Je, Barnaba anaenda nyumbani kula chakula cha mchana? Hapana, Barnaba haendi nyumbani. Anaenda katika mgahawa.

5) Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Je, Barnaba anaona saladi? Ndiyo, Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa.

6) Mama yake anataka ale saladi, siyo biskuti za chokoleti. Je, mama yake Barnaba anataka yeye ale saladi? Ndiyo, mama yake anataka ale saladi, sio biskuti za chokoleti.

7) Barnaba ananunua biskuti. Je, Barnaba ananunua saladi? Hapana, Barnaba hanunui saladi. Ananunua biskuti na kuzila.

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu. Der Matheunterricht ist bald vorbei. Kyle is taking a break at school.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. It's twelve o'clock and it's time for lunch. Il est midi et c'est l'heure du déjeuner.

Barnaba hakuja na chakula chake cha mchana kutoka nyumbani. Barnabas brachte sein Mittagessen nicht von zu Hause mit. Kyle doesn't have a lunch from home. Barnabas n'a pas apporté son déjeuner de chez lui.

Inabidi anunue chakula cha mchana shuleni. He has to buy his lunch at school.

Anaenda katika mgahawa. He goes to the cafeteria.

Anaona biskuti za chokoleti, na saladi. He sees French fries, and a salad.

Mama yake anataka ale saladi. Seine Mutter möchte, dass er Salat isst. His Mom wants him to eat the salad.

Lakini Barnaba anataka kula biskuti za chokoleti But Kyle wants to eat the French fries.

Anafikiria kwa dakika. Er denkt eine Minute nach. He thinks for a minute.

Kisha, ananunua biskuti na kuzila. Then, he buys and eats the French fries. Ensuite, il achète des biscuits et les mange.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Barnaba. Here is the same story told in a different way.

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu. I am taking a break at school.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. It's twelve and it's time for lunch.

Sikuja na chakula cha mchana kutoka nyumbani. I don't have a lunch from home.

Inabidi ninue chakula cha mchana shuleni. I have to buy a lunch at school.

Ninaenda katika mgahawa. I go to the cafeteria.

Ninaona biskuti za chokoleti, na saladi. I see French fries, and a salad.

Mama yangu anataka nile saladi. My Mom wants me to eat the salad.

Lakini mimi ninataka kula biskuti za chokoleti. But I want to eat the French fries.

Ninafikiria kwa dakika. I think for a minute.

Kisha, ninanunua biskuti na kuzila. Then, I buy and eat the French fries.

Maswali. Questions:

1) Darasa la hesabu la Barnaba limemalizika muda sio mrefu. One: Kyle is taking a break at school. Je, darasa la hesabu limeanza muda sio mrefu? Is Kyle working at school? Hapana, darasa la hesabu halijaanza. No, he is not working. Limemalizika muda sio mrefu. he is taking a break at school.

2) Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. Two: It's twelve and it's time for lunch. Je, ni muda wa chakula cha mchana? Ist es Mittagszeit? Is it lunchtime? Ndiyo, ni muda wa chakula cha mchana. Yes, it's lunchtime. Ni mchana. It's twelve.

3) Barnaba hakuja na chakula cha mchana. Three: Kyle does not have a lunch. Je, Barnaba alikuja na chakula cha mchana? Does Kyle have a lunch? Hapana, Barnaba hakuja na chakula cha mchana. No, Kyle does not have a lunch.

4) Anaenda katika mgahawa. Four: Kyle goes to the cafeteria. Je, Barnaba anaenda nyumbani kula chakula cha mchana? Does Kyle go home to eat lunch? Hapana, Barnaba haendi nyumbani. No, Kyle doesn't go home. Anaenda katika mgahawa. He goes to the cafeteria.

5) Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Five: Kyle sees a salad, and French fries, in the cafeteria. Je, Barnaba anaona saladi? Does Kyle see a salad? Ndiyo, Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Yes, Kyle sees a salad, and French fries, in the cafeteria.

6) Mama yake anataka ale saladi, siyo biskuti za chokoleti. Six: His Mom wants him to eat the salad, not the French fries. Je, mama yake Barnaba anataka yeye ale saladi? Does Kyle's Mom want him to eat the salad? Ndiyo, mama yake anataka ale saladi, sio biskuti za chokoleti. Yes, his Mom wants him to eat the salad, not the French fries.

7) Barnaba ananunua biskuti. Seven: Kyle buys and eats the French fries. Je, Barnaba ananunua saladi? Does Kyle buy the salad? Hapana, Barnaba hanunui saladi. No, Kyle does not buy the salad. Ananunua biskuti na kuzila. he buys and eats the French fries.