×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 12- Ninahitaji Kompyuta Mpya

Selina anatumia kompyuta mara nyingi.

Lakini, anahitaji kompyuta mpya.

Kompyuta yake imezeeka na inafanya kazi taratibu.

Anaenda katika duka la elektroniki.

Anaona kompyuta nyingi ndani ya duka.

Anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake.

Na anataka kibodi nzuri.

Anaona kompyuta nzuri, ya bluu.

Anapenda skrini, kibodi, na rangi.

Ananunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Selina.

Ninatumia kompyuta mara nyingi.

Lakini, ninahitaji kompyuta mpya.

Kompyuta yangu imezeeka na inafanya kazi taratibu.

Ninaenda kwenye duka la elektroniki.

Ninaona kompyuta nyingi ndani ya duka.

Ninataka skrini kubwa kwenye kompyuta yangu.

Na ninataka kibodi nzuri.

Ninaona kompyuta nzuri, ya bluu.

Ninapenda skrini, kibodi na rangi.

Ninanunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo.

Maswali:

1) Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi. Je, Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi? Ndiyo, huwa anatumia kompyuta mara nyingi.

2) Selina anahitaji kompyuta mpya. Je, Selina anahitaji simu mpya? Hapana, Selina hahitaji simu mpya. Anahitaji kompyuta mpya.

3) Kompyuta ya Selina imezeeka, na inafanya kazi taratibu. Je, kompyuta ya Selina ni mpya? Hapana, kompyuta yake siyo mpya. Imezeeka, na inafanya kazi taratibu.

4) Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Je, kuna kompyuta nyingi ndani ya duka? Ndiyo, Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki.

5) Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. Je, Selina anataka skrini ndogo? Hapana, Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake.

6) Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Je, Selina anataka kibodi nzuri? Ndiyo, Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake.

7) Selina anaona kompyuta ya bluu. Je, Selina anaona kompyuta nyeusi? Hapana, hajaona kompyuta nyeusi. Anaona kompyuta ya bluu.

8) Selina amependa skrini ya kompyuta, kibodi, na rangi. Je, Selina ameipenda kompyuta? Ndiyo, Selina ameipenda skrini ya kompyuta, kibodi na rangi.

9) Selina ananunua kompyuta na kadi ya mkopo. Je, Selina ananunua kompyuta na fedha taslimu? Hapana, hakutumia fedha taslimu. Ananunua kwa kutumia kadi ya mkopo.

Selina anatumia kompyuta mara nyingi. Selina benutzt den Computer viel. Janet uses the computer a lot.

Lakini, anahitaji kompyuta mpya. But, she needs a new computer.

Kompyuta yake imezeeka na inafanya kazi taratibu. Sein Computer ist alt und arbeitet langsam. Her computer is old and slow.

Anaenda katika duka la elektroniki. She goes to an electronic store.

Anaona kompyuta nyingi ndani ya duka. She sees many computers in the store.

Anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. Er möchte einen größeren Bildschirm auf seinem Computer. She wants a big screen on her computer.

Na anataka kibodi nzuri. And she wants a good keyboard.

Anaona kompyuta nzuri, ya bluu. She sees a nice, blue computer.

Anapenda skrini, kibodi, na rangi. Er liebt den Bildschirm, die Tastatur und die Farben. She likes the screen, the keyboard, and the style.

Ananunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo. Er kauft den Computer mit Kreditkarte. She buys the computer with a credit card.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Selina. Here is the same story told in a different way.

Ninatumia kompyuta mara nyingi. I use the computer a lot.

Lakini, ninahitaji kompyuta mpya. But, I need a new computer.

Kompyuta yangu imezeeka na inafanya kazi taratibu. My computer is old and slow.

Ninaenda kwenye duka la elektroniki. I go to an electronics store.

Ninaona kompyuta nyingi ndani ya duka. I see many computers in the store.

Ninataka skrini kubwa kwenye kompyuta yangu. I want a big screen on my computer.

Na ninataka kibodi nzuri. And I want a good keyboard.

Ninaona kompyuta nzuri, ya bluu. I see a nice, blue computer.

Ninapenda skrini, kibodi na rangi. I like the screen, the keyboard, and the style.

Ninanunua kompyuta hiyo kwa kutumia kadi ya mkopo. I buy the computer with a credit card.

Maswali: Questions:

1) Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi. One: Janet uses the computer a lot. Je, Selina huwa anatumia kompyuta mara nyingi? Does Janet use the computer a lot? Ndiyo, huwa anatumia kompyuta mara nyingi. Yes, she uses the computer a lot.

2) Selina anahitaji kompyuta mpya. Two: Janet needs a new computer. Je, Selina anahitaji simu mpya? Does Selina need a new phone? Hapana, Selina hahitaji simu mpya. No, Selina doesn't need a new phone. Anahitaji kompyuta mpya. she needs a new computer.

3) Kompyuta ya Selina imezeeka, na inafanya kazi taratibu. Three: Janet's computer is old, and slow. Je, kompyuta ya Selina ni mpya? Is Janet's computer new? Hapana, kompyuta yake siyo mpya. No, her computer is not new. Imezeeka, na inafanya kazi taratibu. It is old, and slow.

4) Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Four: Janet sees many computers in the electronics store. Je, kuna kompyuta nyingi ndani ya duka? Are there many computers in the store? Ndiyo, Selina anaona kompyuta nyingi ndani ya duka la elekroniki. Yes, Janet sees many computers in the electronics store.

5) Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. Five: Janet wants a big screen on her computer. Je, Selina anataka skrini ndogo? Does Janet want a small screen? Hapana, Selina anataka skrini kubwa kwenye kompyuta yake. No, Janet wants a big screen on her computer.

6) Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Six: Janet wants a good keyboard for her computer. Je, Selina anataka kibodi nzuri? Does Janet want a good keyboard? Ndiyo, Selina anataka kibodi nzuri kwenye kompyuta yake. Yes, Janet wants a good keyboard for her computer.

7) Selina anaona kompyuta ya bluu. Seven: Janet sees a blue computer. Je, Selina anaona kompyuta nyeusi? Does Janet see a black computer? Hapana, hajaona kompyuta nyeusi. No, she does not see a black computer. Anaona kompyuta ya bluu. She sees a blue computer.

8) Selina amependa skrini ya kompyuta, kibodi, na rangi. Eight: Janet likes the blue computer's screen, keyboard, and style. Je, Selina ameipenda kompyuta? Does Janet like the blue computer? Ndiyo, Selina ameipenda skrini ya kompyuta, kibodi na rangi. Yes, Janet likes the blue computer's screen, keyboard, and style.

9) Selina ananunua kompyuta na kadi ya mkopo. Nine: Janet buys the computer with a credit card. Je, Selina ananunua kompyuta na fedha taslimu? Does Janet buy the computer with cash? Hapana, hakutumia fedha taslimu. No, she doesn't use cash. Ananunua kwa kutumia kadi ya mkopo. She buys it with a credit card.