×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 10- Sherehe Ya Kuzaliwa

William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa.

Anahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva.

Ila, William huwa haendi katika sherehe nyingi.

Ana wasiwasi na anajiuliza anunue nini.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu.

William anaenda katika duka la vito.

Anaona mkufu mzuri wa fedha.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake.

William anafurahi, na ananunua mkufu huo.

Anatarajia Eva ataupenda mkufu huo.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na William.

Ninaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa.

Ninahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva.

Ila, huwa siendi kwenye sherehe nyingi sana.

Nina wasiwasi na ninajiuliza ninunue nini.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu.

Ninaenda kwenye duka la vito.

Ninaona mkufu mzuri wa fedha.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake.

Ninafurahi, na kununua mkufu huo.

Ninatarajia Eva ataupenda mkufu huo.

Maswali.

1) William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. Je, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa? Ndiyo, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva.

2) William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. Je, William huwa anaenda kwenye sherehe nyingi? Hapana, William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi.

3) Eva anapenda wanyama, na rangi ya bluu. Je, Eva anapenda wanyama? Ndiyo, Eva anapenda wanyama, na pia anapenda rangi ya bluu.

4) William anaenda katika duka la vito. Je, Eva alienda katika duka la vito? Hapana, Eva hakwenda katika duka la vito, lakini William alikwenda.

5) William anaona mkufu wa fedha. Je, William aliona pete? Hapana, aliona mkufu wa fedha, sio pete.

6) Mkufu ni wa fedha. Je mkufu ni wa fedha, au dhahabu? Mkufu ni wa fedha, sio wa dhahabu.

7) Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. Je, kuna paka wa zambarau kwenye mkufu? Hapana, hakuna. Kuna paka wa bluu kwenye mkufu.

8) William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. Je, William ananunua mkufu? Ndiyo, William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda.

William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa. William geht zu einer Geburtstagsfeier. Jack is going to a birthday party. William va à une fête d'anniversaire.

Anahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva. He needs to buy a present for Meg.

Ila, William huwa haendi katika sherehe nyingi. Allerdings geht William nicht auf viele Partys. Jack doesn't go to many parties, though.

Ana wasiwasi na anajiuliza anunue nini. Er macht sich Sorgen und fragt sich, was er kaufen soll. He is nervous and wonders what to buy.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu. Eva liebt Schmuck, Tiere und die Farbe Blau. Meg likes jewelry, animals, and the colour blue. Eva houdt van sieraden, dieren en de kleur blauw.

William anaenda katika duka la vito. Jack goes to a jewelry store. William se rend dans une bijouterie.

Anaona mkufu mzuri wa fedha. Er sieht eine wunderschöne silberne Halskette. He sees a pretty, silver necklace.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake. Auf der Halskette ist eine blaue Katze abgebildet. The necklace has a blue cat on it. Op de ketting staat een blauwe kat.

William anafurahi, na ananunua mkufu huo. Jack is happy, and he buys the necklace.

Anatarajia Eva ataupenda mkufu huo. Er hofft, dass Eva die Halskette mögen wird. He hopes Meg will like the necklace.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na William. Here is the same story told in a different way.

Ninaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa. I am going to a birthday party.

Ninahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva. I need to buy a present for Meg.

Ila, huwa siendi kwenye sherehe nyingi sana. Aber ich gehe nicht auf viele Partys. I don't go to many parties, though.

Nina wasiwasi na ninajiuliza ninunue nini. I am nervous and wonder what to buy.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu. Meg likes jewelry, animals, and the colour blue.

Ninaenda kwenye duka la vito. I go to a jewelry store.

Ninaona mkufu mzuri wa fedha. Ich sehe eine wunderschöne silberne Halskette. I see a pretty, silver necklace.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake. The necklace has a blue cat on it.

Ninafurahi, na kununua mkufu huo. I am happy, and I buy the necklace.

Ninatarajia Eva ataupenda mkufu huo. I hope Meg will like the necklace.

Maswali. Questions:

1) William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. One: Jack is going to a birthday party for Meg. Je, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa? Is Jack going to a birthday party? Est-ce que William va à la fête d'anniversaire ? Ndiyo, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. Yes, Jack is going to a birthday party for Meg. Oui, William va à la fête d'anniversaire d'Eva.

2) William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. 2) William geht nicht auf viele Partys und ist daher nervös. Two: Jack does not go to many parties, so he feels nervous. 2) William ne va pas à beaucoup de fêtes, donc il se sent nerveux. Je, William huwa anaenda kwenye sherehe nyingi? Does Jack go to many parties? William va-t-il à de nombreuses fêtes ? Hapana, William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. No, Jack does not go to many parties, so he feels nervous. Non, William ne va pas à beaucoup de fêtes, donc il se sent nerveux.

3) Eva anapenda wanyama, na rangi ya bluu. Three: Meg likes animals, and the colour blue. 3) Eva aime les animaux et la couleur bleue. Je, Eva anapenda wanyama? Does Meg like animals? Eva aime-t-elle les animaux ? Ndiyo, Eva anapenda wanyama, na pia anapenda rangi ya bluu. Yes, Meg likes animals, and she also likes the colour blue. Oui, Eva aime les animaux, et elle aime aussi la couleur bleue.

4) William anaenda katika duka la vito. Four: Jack goes to a jewelry store. 4) William se rend à la bijouterie. Je, Eva alienda katika duka la vito? Does Meg go to a jewelry store? Eva est-elle allée à la bijouterie ? Hapana, Eva hakwenda katika duka la vito, lakini William alikwenda. No, Meg does not go to a jewelry store, but Jack does. Non, Eva n'est pas allée à la bijouterie, mais William y est allé.

5) William anaona mkufu wa fedha. Five: Jack sees a silver necklace. 5) William voit un collier en argent. Je, William aliona pete? Does Jack see a silver ring? William a-t-il vu la bague ? Hapana, aliona mkufu wa fedha, sio pete. No, he sees a silver necklace, not a ring. Non, il a vu un collier en argent, pas une bague.

6) Mkufu ni wa fedha. Six: The necklace is silver. 6) Le collier est en argent. Je mkufu ni wa fedha, au dhahabu? Is the necklace silver, or gold? Le collier est-il en argent ou en or ? Mkufu ni wa fedha, sio wa dhahabu. The necklace is silver, not gold.

7) Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. Seven: There is a blue cat on the necklace. 7) Il y a un chat bleu sur le collier. Je, kuna paka wa zambarau kwenye mkufu? Is there a purple cat on the necklace? Y a-t-il un chat violet sur le collier ? Hapana, hakuna. No, there is not. Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. There is a blue cat on the necklace.

8) William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. Eight: Jack buys the necklace because he hopes Meg will like it. Je, William ananunua mkufu? Does Jack buy the necklace? Ndiyo, William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. Yes, Jack buys the necklace because he hopes Meg will like it. Oui, William achète le collier parce qu'il espère qu'il plaira à Eva.