×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Storybooks Canada, Uamuzi

Uamuzi

https://storybookscanada.ca/images/0027/02.jpg" alt="A crowd of people standing around a water tap."/>

Kijiji changu kilikuwa na matatizo mengi. Tulipanga foleni ndefu tukisubiri kuchota maji kutoka mfereji mmoja.

https://storybookscanada.ca/images/0027/03.jpg" alt="A line of people waiting for food donations."/>

Tulisubiri kupokea msaada wa chakula.

https://storybookscanada.ca/images/0027/04.jpg" alt="A woman locking her front door."/>

Tulifunga nyumba zetu mapema kwasababu ya wizi.

https://storybookscanada.ca/images/0027/05.jpg" alt="A man and woman standing next to a boy outside a school."/>

Watoto wengi waliacha shule.

https://storybookscanada.ca/images/0027/06.jpg" alt="Two girls dressed as maids walking through a village."/>

Wasichana wadogo walifanya kazi za nyumbani kwenye vijiji vingine.

https://storybookscanada.ca/images/0027/07.jpg" alt="Boys roaming around a village and a woman carrying shopping on her head."/>

Wavulana wadogo waliranda randa kijijini na wengine walifanya kazi kwenye mashamba ya watu.

https://storybookscanada.ca/images/0027/08.jpg" alt="Gusts of wind blowing waste paper onto trees."/>

Upepo ulipovuma, ulipeperusha karatasi chafu na kuzifikisha mitini na uani.

https://storybookscanada.ca/images/0027/09.jpg" alt="A boy sitting holding his injured foot."/>

Watu walikatwa na vipande vya chupa vilivyotupwa ovyo ovyo.

https://storybookscanada.ca/images/0027/10.jpg" alt="People standing around a water tap."/>

Halafu siku moja, mfereji wa maji ulikauka na mitungi yetu ikawa mitupu.

https://storybookscanada.ca/images/0027/11.jpg" alt="A man standing outside a house with two children talking with a woman."/>

Baba yangu alitembea nyumba hadi nyumba akiwaomba watu kuhudhuria mkutano wa kijiji.

https://storybookscanada.ca/images/0027/12.jpg" alt="People sitting under a big tree listening to a man speaking."/>

Watu walikusanyika chini ya mti mkubwa na kusikiliza.

https://storybookscanada.ca/images/0027/13.jpg" alt="A man speaking to a crowd of people sitting under a tree."/>

Baba yangu alisimama na kusema, “Tunahitaji kusaidiana kutatua matatizo yetu.”

https://storybookscanada.ca/images/0027/14.jpg" alt="A boy sitting on a tree trunk raising his hand."/>

Juma, mtoto wa miaka minane aliyekuwa amekaa kwenye tawi la mti, alisema kwa sauti, “Naweza kusaidia na usafi.”

https://storybookscanada.ca/images/0027/15.jpg" alt="A woman suggesting women join her to grow food."/>

Mwanamke mmoja alisema, “Sisi wanawake tunaweza kuungana na kulima.”

https://storybookscanada.ca/images/0027/16.jpg" alt="A man suggesting men help to dig a well."/>

Mwanamume mwingine alisimama na kusema, “Wanaume watachimba kisima cha maji.”

https://storybookscanada.ca/images/0027/17.jpg" alt="A crowd of people standing together smiling."/>

Sote tulisema kwa sauti moja, “Lazima tubadilishe maisha yetu.” Tangu siku hiyo, tulifanya kazi pamoja kutatua shida zetu.

Uamuzi Entscheidung Decision Decisión Décision 결정 Decyzja

A crowd of people standing around a water tap.

Kijiji changu kilikuwa na matatizo mengi. Tulipanga foleni ndefu tukisubiri kuchota maji kutoka mfereji mmoja. My village had many problems. We lined up long waiting to fetch water from a canal. Mon village avait beaucoup de problèmes. Nous avons fait la queue pendant longtemps pour aller chercher de l'eau dans un canal.

A line of people waiting for food donations.

Tulisubiri kupokea msaada wa chakula. We waited to receive food aid. Nous attendions de recevoir une aide alimentaire.

A woman locking her front door.

Tulifunga nyumba zetu mapema kwasababu ya wizi. We closed our houses early because of theft. Nous avons fermé nos maisons plus tôt à cause du vol.

A man and woman standing next to a boy outside a school.

Watoto wengi waliacha shule. Many children dropped out of school. De nombreux enfants ont abandonné l'école.

Two girls dressed as maids walking through a village.

Wasichana wadogo walifanya kazi za nyumbani kwenye vijiji vingine. Little girls did housework in other villages. Les petites filles faisaient le ménage dans d'autres villages.

Boys roaming around a village and a woman carrying shopping on her head.

Wavulana wadogo waliranda randa kijijini na wengine walifanya kazi kwenye mashamba ya watu. Little boys worked in the village and others worked on people's farms. Les petits garçons travaillaient dans le village et d'autres travaillaient dans les fermes des gens.

Gusts of wind blowing waste paper onto trees.

Upepo ulipovuma, ulipeperusha karatasi chafu na kuzifikisha mitini na uani. When the wind blew, it blew the dirty paper and carried it to the trees and yard. Lorsque le vent soufflait, il soufflait le papier sale et le transportait vers les arbres et la cour.

A boy sitting holding his injured foot.

Watu walikatwa na vipande vya chupa vilivyotupwa ovyo ovyo. People were cut by shards of bottles thrown carelessly. Des gens ont été blessés par des éclats de bouteilles jetés négligemment.

People standing around a water tap.

Halafu siku moja, mfereji wa maji ulikauka na mitungi yetu ikawa mitupu. Dann trocknete eines Tages der Kanal aus und unsere Gläser waren leer. Then one day, the canal dried up and our jars were empty. Puis un jour, le canal s'est asséché et nos bocaux étaient vides.

A man standing outside a house with two children talking with a woman.

Baba yangu alitembea nyumba hadi nyumba akiwaomba watu kuhudhuria mkutano wa kijiji. My father went from house to house asking people to attend the village meeting. Mon père allait de maison en maison pour demander aux gens d'assister à la réunion du village.

People sitting under a big tree listening to a man speaking.

Watu walikusanyika chini ya mti mkubwa na kusikiliza. Les gens se sont rassemblés sous un grand arbre et ont écouté.

A man speaking to a crowd of people sitting under a tree.

Baba yangu alisimama na kusema, “Tunahitaji kusaidiana kutatua matatizo yetu.” My father stood up and said, "We need to help each other solve our problems." Mon père s'est levé et a dit : « Nous devons nous entraider pour résoudre nos problèmes.

A boy sitting on a tree trunk raising his hand.

Juma, mtoto wa miaka minane aliyekuwa amekaa kwenye tawi la mti, alisema kwa sauti, “Naweza kusaidia na usafi.” Juma, an eight-year-old child who was sitting on a tree branch, said aloud, "I can help with cleanliness." Juma, un enfant de huit ans assis sur une branche d'arbre, a dit à voix haute : « Je peux aider à la propreté ».

A woman suggesting women join her to grow food.

Mwanamke mmoja alisema, “Sisi wanawake tunaweza kuungana na kulima.” Eine Frau sagte: „Wir Frauen können uns vereinen und kultivieren.“ One woman said, "We women can unite and cultivate."

A man suggesting men help to dig a well.

Mwanamume mwingine alisimama na kusema, “Wanaume watachimba kisima cha maji.” Another man stood up and said, "The men will dig a well."

A crowd of people standing together smiling.

Sote tulisema kwa sauti moja, “Lazima tubadilishe maisha yetu.” Tangu siku hiyo, tulifanya kazi pamoja kutatua shida zetu. We all said with one voice, "We must change our lives." From that day, we worked together to solve our problems. Nous avons tous dit d'une seule voix : « Nous devons changer nos vies ». A partir de ce jour, nous avons travaillé ensemble pour résoudre nos problèmes.