×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

Swahili music, Mbosso - Maajab

Mbosso - Maajab

Nana na naaa

Naa nana naaa na

Naa nana naa na

Naa naa nana

Moko mokooo

Imara kashikilia,

mwache avimbe bichwa

Wallahi kanipatia

anastahili sifa

Chumba kizima chanukia

uturi kajifisha

Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

Ananikosha mwili

kwa maji ya madafu

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu

Anijua tumbo la ng'iri

kwa mafuuta ya karafuu

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

Kifuani unipaka harua

mikono tende anazichambua

Anilambaaa aah

Kitandani humwaga maua

vingine hata chembe sikuwa najua.

hanitoa ushamba aah

uuuh

Na nitake nini kwake?

Niombe nsipewee

Iwe pemba ama chako chake,

nichague mwenyewe eeh

Kanipa pombe roho yake

ninywe nilewe eeh

Mambo shega ni mwake mwake,

mangaka msewe eeh

Libanikee penzi kama gazeti walisomee

tuwa adabishe sangara shombo vibetwe

tuwango'e

Ni kila nilishe,

chapati za alizeti ni none

tuwafungishe midomo uzi cement , tuwashonee

Ananikosha mwili

kwa maji ya madafu

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu

Anijua tumbo la ngi'ri

kwa mafuta ya karaafu

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

haluwa haluwa

hunipa vitamu laini lainii..

haluwa haluwa

Kinyama cha hamu

uhondo utosinii.

haluwa haluwa

Sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii.

haluwa haluwa

Napewa hadi vya miko sa nitake nini?

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE