×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Habari za UN, Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN

Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu. Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona. Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi. Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma. Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata. Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi.


Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "NDUI" | | Habari za UN Kisuaheli lernen: Die Bedeutung des Wortes „Pocken“ | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: The meaning of the word "smallpox" | | UN news Aprenda Kiswahili: El significado de la palabra "viruela" | | noticias de la ONU Apprenez le kiswahili : la signification du mot « variole » | | Actualités de l'ONU Dowiedz się Kiswahili: Znaczenie słowa „ospa” | | Wiadomości ONZ Aprenda Kiswahili: O significado da palavra "varíola" | | notícias da ONU 学习斯瓦希里语:“天花”一词的含义 | |联合国新闻

Na tugeukie katika kujifunza lugha adhimu ya Kiswahili na leo tunapata ufafanuzi wa neno "NDUI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Let's turn to learning the glorious language of Kiswahili and today we get the definition of the word "NDUI" from our expert Onni Sigalla, Senior Editor of the National Kiswahili Council in Tanzania, BAKITA.

Ndui ni ugonjwa ambao sasa hivi watu wengi hawaufahamu. Smallpox is a disease that many people are not familiar with. Huu ni ugonjwa kama vile tetekuwanga, ambao unaenezwa na virusi vinavyoshambulia mwili aghalabu huwacha madoadoa meusi kwenye ngozi baada ya kupona. This is a disease like chicken pox, which is spread by a virus that attacks the body and often leaves black spots on the skin after recovery. Ni aina ya upele ambao unampata mtu na ugonjwa huo unaambukizwa na virusi. It is a type of rash that affects a person and the disease is infected by a virus. Na huu ni ugonjwa ambao ulikuweko sana miaka ya nyuma. And this is a disease that was very prevalent in the past years. Sasa hivi ni nadra kutokana na chanjo mbalimbali ambazo watu wanazipata. Right now it's rare due to the various vaccines that people get. Lakini pia inaweza kutokana na mazingira na ukomavu wa sayansi na teknolojia katika kuthibiti virusi hivi. But it can also be due to the environment and the maturity of science and technology in controlling this virus.