×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Habari za UN, Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN

Na sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "KUYEYESA". Na mtaalam wetu Onni Sigalla. Huyu ni Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Mara nyingi tunafanya usaidizi kwa wenzetu na hasa ambao wamepatwa na maradhi kwa muda mrefu, wameishiwa nguvu au kwa mtu ambaye umri wake umemsogea sana na anahitaji usaidizi. Kitendo hicho si usaidizi kama ambavyo tunasema ila tunaweza tukasema ni uyeyesaji. Yaani, unayeyesa, au unayeyeswa, au unayeyesesha mtu ambaye aghalabu; ni mgonjwa ili aweze kutembea au kukua na nguvu tena ili aweze kutembea. Kwa hiyo, mtu unapomsaidia, mtu aweze kutembea, aweze kujongea mahali fulani, basi unakuwa unamyeyesa na kama ni wewe mwenyewe basi unayeyesewa na kadhalika.

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN Kiswahili lernen: Kennen Sie die Bedeutung des Wortes „VERSUCHEN“? | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: Do you know the meaning of the word "TRY"? | | UN news Aprende Kiswahili: ¿Conoces el significado de la palabra "TRY"? | | noticias de la ONU Apprenez le kiswahili : Connaissez-vous la signification du mot « ESSAYER » ? | | Actualités de l'ONU スワヒリ語を学ぶ: 「TRY」という言葉の意味を知っていますか? | |国連ニュース

Na sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. And now it's time to learn the Kiswahili language. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "KUYEYESA". Today we are explained the meaning of the word "TRYING". Na mtaalam wetu Onni Sigalla. And our expert Onni Sigalla. Huyu ni Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. This is the senior editor of the National Kiswahili Council in Tanzania, BAKITA.

Mara nyingi tunafanya usaidizi kwa wenzetu na hasa ambao wamepatwa na maradhi kwa muda mrefu, wameishiwa nguvu au kwa mtu ambaye umri wake umemsogea sana na anahitaji usaidizi. We often help our colleagues and especially those who have been ill for a long time, have run out of energy or for someone who is very old and needs help. Kitendo hicho si usaidizi kama ambavyo tunasema ila tunaweza tukasema ni uyeyesaji. That action is not help as we say, but we can say it is a test. Yaani, unayeyesa, au unayeyeswa, au unayeyesesha mtu ambaye aghalabu; ni mgonjwa ili aweze kutembea au kukua na nguvu tena ili aweze kutembea. That is, you try, or you are tried, or you try to make someone who often; is sick enough to be able to walk or grow strong enough to be able to walk again. Kwa hiyo, mtu unapomsaidia, mtu aweze kutembea, aweze kujongea mahali fulani, basi unakuwa unamyeyesa na kama ni wewe mwenyewe basi unayeyesewa na kadhalika. Therefore, when you help someone, so that someone can walk, can walk somewhere, then you are judging him and if it is yourself then you are being judged and so on.