×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Who is She?, 9- Anamiliki Nyumba

Msichana alihamia nyumba lini?

Ngoja nikumbuke.

Siwezi kukumbuka.

Tafadhali jaribu kukumbuka.

Najaribu kukumbuka.

Ilikuwa kama lini?

Nahitaji kujua.

Kulingana nami ni kama alihamia katika nyumba miaka miwili iliyopita.

Una uhakika?

Ndiyo, Hata ni nyumba yake.

Anamiliki nyumba.

Nyumba ni ya msichana?

Inashangaza!

Ndiyo, Nakumbuka wakati alipohamia.

Ilikuwa Novemba.

Siku hiyo kulikuwa na theluji.

Una uhakika?

Ndiyo Ndugu yako alihamia miezi sita tu iliyopita.

Kweli?

Unajuaje wakati ndugu yangu alihamia?

Nakumbuka kwamba ilikuwa usiku wa manane na mvua ilikuwa inanyesha.

Mbona uliweza kumtambua?

Alipiga kelele nyingi.

Alikuwa na marafiki waliomsaidia kuhama.

Wote wapiga kelele nyingi.

Msichana alihamia nyumba lini? When did the girl move into the apartment?

Ngoja nikumbuke. Let me see.

Siwezi kukumbuka. I cannot remember.

Tafadhali jaribu kukumbuka. Please try to remember.

Najaribu kukumbuka. I am trying to remember.

Ilikuwa kama lini? Roughly when was it?

Nahitaji kujua. I need to know.

Kulingana nami ni kama alihamia katika nyumba miaka miwili iliyopita. I think she moved into the apartment two years ago.

Una uhakika? Are you sure?

Ndiyo, Hata ni nyumba yake. Yes, In fact it is her apartment.

Anamiliki nyumba. The apartment belongs to her.

Nyumba ni ya msichana? It is the girl's apartment?

Inashangaza! What a surprise!

Ndiyo, Nakumbuka wakati alipohamia. Yes, I remember when she moved in.

Ilikuwa Novemba. It was November.

Siku hiyo kulikuwa na theluji. It was snowing that day.

Una uhakika? Are you sure?

Ndiyo Ndugu yako alihamia miezi sita tu iliyopita. Yes, Your brother just moved in six months ago.

Kweli? Really?

Unajuaje wakati ndugu yangu alihamia? How do you know when my brother moved in?

Nakumbuka kwamba ilikuwa usiku wa manane na mvua ilikuwa inanyesha. I remember that it was late at night and it was raining.

Mbona uliweza kumtambua? Why did you notice him?

Alipiga kelele nyingi. He made a lot of noise.

Alikuwa na marafiki waliomsaidia kuhama. He had friends who helped him move.

Wote wapiga kelele nyingi. They all made a lot of noise.