×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

Who is She?, 7- Nikusaidie Vipi?

Sina wasiwasi na ndugu yangu.

Ninataka kujua kinachoendelea.

Naam, ukweli ni kuwa, sijui kwa nini hakuandikii.

Lakini nataka unisaidie.

Ndiyo sababu leo nimefika hapa.

Nikusaidie vipi?

Siwezi kujibu maswali yako yote.

Kwa nini?

Yeye ni wa muhimu sana kwangu, kama utakavyogundua.

Naam, kwa maoni yangu, unauliza maswali kuhusu mambo yasiyo kuhusu.

Kwa nini hayanihusu?

Hapa ni nyumbani kwa ndugu yako.

Anaishi maisha yake mwenyewe.

Lakini yeye ni ndugu yangu.

Ninajali kile kinachomtokea.

Sina wasiwasi na ndugu yangu. I am not worried about my brother.

Ninataka kujua kinachoendelea. I am interested in knowing what is going on.

Naam, ukweli ni kuwa, sijui kwa nini hakuandikii. Well, the thing is, I do not know why he does not write to you.

Lakini nataka unisaidie. But I want you to help me.

Ndiyo sababu leo nimefika hapa. That is why I came here today.

Nikusaidie vipi? How can I help you?

Siwezi kujibu maswali yako yote. I cannot answer all of your questions.

Kwa nini? Why not?

Yeye ni wa muhimu sana kwangu, kama utakavyogundua. This is very important for me as you will find out.

Naam, kwa maoni yangu, unauliza maswali kuhusu mambo yasiyo kuhusu. Well, in my opinion, you are asking questions about things that are none of your business.

Kwa nini hayanihusu? Why is it not my business?

Hapa ni nyumbani kwa ndugu yako. This is your brother's place.

Anaishi maisha yake mwenyewe. He leads his own life.

Lakini yeye ni ndugu yangu. He is on his own.

Ninajali kile kinachomtokea. But he is my brother.