×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

LingQ 101 - Getting Started, Kutengeneza LingQs

Utaona maneno mengi ya bluu.

Haya ni maneno mapya.

Baadhi ya maneno haya mapya, tayari unayajua.

Baadhi ya maneno haya mapya hauyajui.

Utatakiwa kutunza maneno usiyoyafahamu.

Hii inaitwa kutengeneza LingQs

Kisha baada ya hapo maneno ya bluu yatabadilika rangi.

Neno la bluu sasa litakuwa la njano.

Unaweza pia kutengeneza LingQs za muunganiko wa maneno zaidi ya moja.

Hili ni wazo zuri.

Muda sio mrefu utaanza kuona maneno ya njano yanakuwa mengi zaidi na sentensi za njano zikiongezeka zaidi katika kila somo.

Hili ni jambo zuri.

Endelea kutengeneza LingQs.

Hii inamaanisha unaelewa zaidi.

Utaona maneno mengi ya bluu. Sie werden viele blaue Wörter sehen. You will see many blue words.

Haya ni maneno mapya. Das sind neue Wörter. These are new words. Ce sont des mots nouveaux.

Baadhi ya maneno haya mapya, tayari unayajua. Einige dieser neuen Wörter kennen Sie bereits. Some of these new words you know. Certains de ces nouveaux mots, vous les connaissez déjà.

Baadhi ya maneno haya mapya hauyajui. Einige dieser neuen Wörter kennen Sie nicht. Some of these new words you don't know. Certains de ces nouveaux mots que vous ne connaissez pas.

Utatakiwa kutunza maneno usiyoyafahamu. Sie müssen auf Wörter achten, die Sie nicht kennen. You will save the words you don't know. Vous devrez faire attention aux mots que vous ne connaissez pas.

Hii inaitwa kutengeneza LingQs Dies wird als Generieren von LingQs bezeichnet This is called creating LingQs.

Kisha baada ya hapo maneno ya bluu yatabadilika rangi. Danach ändern die blauen Wörter ihre Farbe. Then the blue word changes color. Ensuite, les mots bleus changeront de couleur.

Neno la bluu sasa litakuwa la njano. Das blaue Wort wird jetzt gelb. The blue word is now yellow. Le mot bleu deviendra désormais jaune.

Unaweza pia kutengeneza LingQs za muunganiko wa maneno zaidi ya moja. Sie können auch LingQs erstellen, um mehr als ein Wort zu kombinieren. You can also create LingQs for phrases.

Hili ni wazo zuri. Das ist eine gute Idee. This is a good idea. C'est une bonne idée.

Muda sio mrefu utaanza kuona maneno ya njano yanakuwa mengi zaidi na sentensi za njano zikiongezeka zaidi katika kila somo. Schon bald werden Sie in jeder Lektion mehr gelbe Wörter und mehr gelbe Sätze sehen. Soon you will see more and more yellow words and phrases in each lesson.

Hili ni jambo zuri. Das ist eine gute Sache. This is good. C'est une bonne chose.

Endelea kutengeneza LingQs. Machen Sie weiterhin LingQs. Keep on creating LingQs. Continuez à créer des LingQ.

Hii inamaanisha unaelewa zaidi. Das bedeutet, dass Sie mehr verstehen. This means that you are learning. Cela signifie que vous comprenez davantage.