×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.

image

LingQ 101 - Getting Started, Kutengeneza LingQs

Utaona maneno mengi ya bluu.

Haya ni maneno mapya.

Baadhi ya maneno haya mapya, tayari unayajua.

Baadhi ya maneno haya mapya hauyajui.

Utatakiwa kutunza maneno usiyoyafahamu.

Hii inaitwa kutengeneza LingQs

Kisha baada ya hapo maneno ya bluu yatabadilika rangi.

Neno la bluu sasa litakuwa la njano.

Unaweza pia kutengeneza LingQs za muunganiko wa maneno zaidi ya moja.

Hili ni wazo zuri.

Muda sio mrefu utaanza kuona maneno ya njano yanakuwa mengi zaidi na sentensi za njano zikiongezeka zaidi katika kila somo.

Hili ni jambo zuri.

Endelea kutengeneza LingQs.

Hii inamaanisha unaelewa zaidi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE