×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

Who is She?, 4- Anafanya Nini?

Mbona nikueleze?

Sidhani ni sawa.

Sawa.

Msichana anakaa vipi?

Kwa nini unauliza maswali haya yote?

Msichana anakaa vipi?

Mrefu au mfupi?

Ngozi yake ni nyeupe au nyeusi?

Unataka kweli nikueleze kuhusu yeye.

Nimekueleza yote ninayotaka kusema.

Naam, tafadhali jaribu kunieleza kidogo zaidi kuhusu yeye.

Naam, yeye ni mfupi kuliko wewe lakini ni mrefu kuliko Anna.

Pia ana ngozi nyeusi zaidi kuliko mimi.

Anafanya nini?

Anafanya kazi wapi?

Anafanya kazi upande wa chini wa jiji.

Nadhani anafanya kazi katika duka la idara.

Jina lake ni nani?

Siwezi kukueleza jina lake.

Hunisaidii sana.

Ninahitaji msaada wako.

Mbona nikueleze? Why do I have to tell you?

Sidhani ni sawa. I do not think it is right.

Sawa. OK.

Msichana anakaa vipi? What does the girl look like?

Kwa nini unauliza maswali haya yote? Why are you asking all these questions?

Msichana anakaa vipi? What does the girl look like?

Mrefu au mfupi? Is she tall or short?

Ngozi yake ni nyeupe au nyeusi? Is she fair or dark?

Unataka kweli nikueleze kuhusu yeye. You really want me to tell you about her?

Nimekueleza yote ninayotaka kusema. I have told you all I want to say.

Naam, tafadhali jaribu kunieleza kidogo zaidi kuhusu yeye. Well, please try to tell me a little more about her.

Naam, yeye ni mfupi kuliko wewe lakini ni mrefu kuliko Anna. Well, she is shorter than you but taller than Sally.

Pia ana ngozi nyeusi zaidi kuliko mimi. She is also a little darker than me.

Anafanya nini? What does she do?

Anafanya kazi wapi? Where does she work?

Anafanya kazi upande wa chini wa jiji. She works downtown.

Nadhani anafanya kazi katika duka la idara. I think she works in a department store.

Jina lake ni nani? What is her name?

Siwezi kukueleza jina lake. I cannot tell you what her name is. Je ne peux pas vous dire son nom.

Hunisaidii sana. You are not helping me very much.

Ninahitaji msaada wako. I really need your help.