×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

Who is She?, 2- Namtafuta Ndugu Yangu

Tunamtafuta mtu fulani.

Unamtafuta nani?

Namtafuta ndugu yangu.

Je, anaishi hapa?

Ndiyo, nadhani ndugu yangu anaishi katika jengo hili.

Ndugu yako ni nani?

Niambie jina lake.

Jina la ndugu yangu ni Ibrahim.

Nani mkubwa, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mkubwa kuliko mimi.

Mimi ni mdogo wake.

Yeye ni mtoto wa kwanza katika familia.

Kati yenu ni nani mrefu zaidi, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mrefu zaidi.

Mimi ndiye mfupi kabisa katika familia.

Kwa nini unauliza?

Tunamtafuta mtu fulani. We are looking for someone.

Unamtafuta nani? Who are you looking for?

Namtafuta ndugu yangu. I am looking for my brother.

Je, anaishi hapa? Does he live here?

Ndiyo, nadhani ndugu yangu anaishi katika jengo hili. Yes, I think my brother lives in this building.

Ndugu yako ni nani? Who is your brother?

Niambie jina lake. Tell me his name.

Jina la ndugu yangu ni Ibrahim. My brother's name is George.

Nani mkubwa, wewe au ndugu yako? Who is older, you or your brother?

Ndugu yangu ni mkubwa kuliko mimi. My brother is older than me.

Mimi ni mdogo wake. I am younger than him.

Yeye ni mtoto wa kwanza katika familia. He is the oldest child in the family.

Kati yenu ni nani mrefu zaidi, wewe au ndugu yako? Which one of you is taller, you or your brother?

Ndugu yangu ni mrefu zaidi. My brother is taller.

Mimi ndiye mfupi kabisa katika familia. I am the short one in the family.

Kwa nini unauliza? Why do you ask?