×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

Who is She?, 18- Lazima Iwe Ni Utani

Nataka mpenzi wa kaka yangu arudi nyumbani na kumkuta Anna kwenye kitanda chake.

Una uhakika?

Lazima iwe ni utani!

Hapana, nina uhakika.

Nataka kumuaibisha ndugu yangu.

Kumpata Anna kitandani mwake kutamtia aibu.

Hakuna shaka kuhusu hilo

Hilo litakuwa gumu sana kwa ndugu yangu kuelezea.

Nakubali, Hilo litakuwa gumu kueleza.

Nisingetaka kueleza hilo.

Hata kama anampenda, hilo litakuwa gumu sana kuelezea.

Natumaini ataamua kumwacha ili niweze kupata fedha zaidi.

Hilo, naelewa.

Wewe si dada mzuri.

Usijali kuhusu hilo.

Fanya tu kile nakueleza, na utapata pesa.

Nataka mpenzi wa kaka yangu arudi nyumbani na kumkuta Anna kwenye kitanda chake. I want my brother's girlfriend to come home and find Sally in their bed.

Una uhakika? Are you serious?

Lazima iwe ni utani! You must be joking!

Hapana, nina uhakika. No I am serious.

Nataka kumuaibisha ndugu yangu. I want to embarrass my brother.

Kumpata Anna kitandani mwake kutamtia aibu. Finding Sally in his bed could cause him embarrassment.

Hakuna shaka kuhusu hilo There is no doubt about that.

Hilo litakuwa gumu sana kwa ndugu yangu kuelezea. That will be very difficult for my brother to explain.

Nakubali, Hilo litakuwa gumu kueleza. I agree, That would be hard to explain.

Nisingetaka kueleza hilo. I would not want to explain that.

Hata kama anampenda, hilo litakuwa gumu sana kuelezea. Even if she loves him, that will be really difficult to explain.

Natumaini ataamua kumwacha ili niweze kupata fedha zaidi. I hope she decides to leave him so that I can keep more of the money.

Hilo, naelewa. That much I understand.

Wewe si dada mzuri. You are not a very nice sister.

Usijali kuhusu hilo. Never mind.

Fanya tu kile nakueleza, na utapata pesa. Just do what I say and you will get the money.