×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

Who is She?, 16- Haijalishi

Wewe ni wakili?

Ndiyo, mimi ni wakili.

Nataka kutafuta njia ya kufanya ndugu yangu kuachana na msichana huyu, kabla ya kupokea pesa.

Hili si jambo zuri sana kutoka kwako.

Mbona unajali sana kuhusu kile kinachomtendekea ndugu yako?

Kwa njia hiyo, mimi mwenyewe nitapata fedha zaidi.

Sasa naona.

Nashukuru sina dada kama wewe.

Naweza kukupa dola elfu moja ikiwa utanisaidia.

Na ndugu yako akigundua kuwa ninakusaidia?

Usiwe na wasiwasi kuhusu hilo.

Bado utabaki na pesa nitakazokupa.

Na ikiwa ndugu yako anampenda msichana?

Haijalishi, Tutangoja ili kushuhudia kitakachotendeka.

Hii inaonekana kama shida kwangu.

Naweza kukupa pesa nyingi.

Wewe ni wakili? Are you a lawyer?

Ndiyo, mimi ni wakili. Yes, I am.

Nataka kutafuta njia ya kufanya ndugu yangu kuachana na msichana huyu, kabla ya kupokea pesa. I want to find a way to make my brother leave this girl before he gets the money.

Hili si jambo zuri sana kutoka kwako. That is not very nice of you.

Mbona unajali sana kuhusu kile kinachomtendekea ndugu yako? Why are you so interested in what happens to your brother?

Kwa njia hiyo, mimi mwenyewe nitapata fedha zaidi. That way I get more of the money for myself.

Sasa naona. Now I see.

Nashukuru sina dada kama wewe. I am glad I do not have a sister like you.

Naweza kukupa dola elfu moja ikiwa utanisaidia. I can give you one thousand dollars if you help me.

Na ndugu yako akigundua kuwa ninakusaidia? What if your brother finds out that I am helping you?

Usiwe na wasiwasi kuhusu hilo. You don't have to worry about it.

Bado utabaki na pesa nitakazokupa. You will still have the money I give you.

Na ikiwa ndugu yako anampenda msichana? What if your brother is in love with the girl?

Haijalishi, Tutangoja ili kushuhudia kitakachotendeka. It does not matter to me, In any case we will see what happens.

Hii inaonekana kama shida kwangu. This smells like trouble to me.

Naweza kukupa pesa nyingi. I can give you a lot of money.