×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie policy.


image

Who is She?, 13- Nimewaza Tena

Lakini ni lazima unipe dola mia tano sasa hivi.

Ni itakuwaje nikikupa hundi ya dola mia tano?

Utakubali hio?

Sawa, Niandikie hundi na nitafanya kile utakachosema.

Ni benki ipi inashughulikia hundi hio?

Benki ya Kwanza ya Taifa.

Sijawahi kusikia kuhusu benki hiyo.

Ni benki maarufu katika nchi yangu.

Unajua, nimewaza tena.

Kwa wazo la pili, sitaki kufanya unachotaka.

Lakini umesema utafanya, muda mfupi uliopita.

Unaniomba nifanye kitu ambacho hakina uaminifu.

Lakini ulikubali mwanzoni.

Hata ingawa nilisema ningefanya, sasa nimebadilisha mawazo yangu.

Lakini ni lazima unipe dola mia tano sasa hivi. But you must give me the five hundred dollars right now.

Ni itakuwaje nikikupa hundi ya dola mia tano? What if I just gave you a check for five hundred dollars?

Utakubali hio? Would you accept that?

Sawa, Niandikie hundi na nitafanya kile utakachosema. OK, Write me a check and I will do what you say.

Ni benki ipi inashughulikia hundi hio? Which bank is the check written on?

Benki ya Kwanza ya Taifa. The First National Bank.

Sijawahi kusikia kuhusu benki hiyo. I have never heard of that bank.

Ni benki maarufu katika nchi yangu. It is a famous bank in my country.

Unajua, nimewaza tena. You know, I have thought it over again.

Kwa wazo la pili, sitaki kufanya unachotaka. On second thought, I do not want to do what you ask.

Lakini umesema utafanya, muda mfupi uliopita. But you just said you would help me a little earlier.

Unaniomba nifanye kitu ambacho hakina uaminifu. You are asking me to do something which is not honest.

Lakini ulikubali mwanzoni. But you agreed at first.

Hata ingawa nilisema ningefanya, sasa nimebadilisha mawazo yangu. Even though I said I would, I have now changed my mind.