×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

Δωρεάν εγγραφή
image

LingQ 101 - Getting Started, Marafiki

Marafiki ni watu waliopo LingQ ambao unataka kuwafuata.

Marafiki zako watakusaidia kujifunza.

Unaweza kuona ni kitu gani marafiki zako wanakifanya.

Unaweza kuona ni masomo gani wanayoyasoma.

Marafiki zako wanaweza kuona ni nini unafanya.

Unaweza kuchagua waalimu wakawa marafiki zako.

Watakusaidia kujifunza.

Unaweza kuwasaidia marafiki zako pia.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE