×

Χρησιμοποιούμε cookies για να βελτιώσουμε τη λειτουργία του LingQ. Επισκέπτοντας τον ιστότοπο, συμφωνείς στην πολιτική για τα cookies.

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zin… – Κείμενο για ανάγνωση

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

Αρχάριοι 1 μάθημα Σουαχίλι για εξάσκηση στην ανάγνωση

Άρχισε αυτό το μάθημα τώρα

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE