Leonhard speaking Swahili
Hello, Jina langu naitwa Leonhard Oscar, ni Mtanzania
sasa hivi niko Mozambique.
Mimi ni mwanamziki, nafanya mziki ya Afro-Music
Pia ni mwalimu wa music, nafundisha pale
"may day" ni college ya music nafundisha.
Nimefurahi kushare na nyinyi mawazo yangu.
Nimefanya uchunguzi Tanzania nimeona watanzania wengi
ni tuna vipaji vya kujifunza mziki
tunaelewa music lakini
hatujui kusoma, hatujui kuandika music
Ni kitu kinachoumiza sana
mimi nashangaa wanasiasa, wao wanachukulia
ni jambo la kawaida.
Wameweka institute lakini naona
kama haifanyi kazi, mfano
mziki mashuleni haipo tena.
Ni jambo linalosikitisha sana
Mimi nafundisha music
Tunastruggle sana kwa sababu tunafikiria kwamba
tunawapokea watu, na kuwaanzisha chini sana
lakini hawawezi kufika kule wanapotarajia kufika
hawawezi kufika level ambayo
watu wanategemea wafike
kwahiyo wazo langu kwa serikali
na kwa bunge, wazo langu
Ninaomba rais na anyehusika
na waziri
arudishe, naomba mrudishe elimu
ya mziki mashuleni. Watoto waanze
wakiwa wadogo, kujifunza music ili
iingizwe kwenye syllabus ya nchi
hii kitu inasaidia, inasaidia sana.
Mfano unataka kutangaza utalii
unataka kutangaza utamaduni,
unatangazaye
ni kupitia miziki.
Lakini unakuta music
mtu ana, watu wana tamaduni zao
lakini hawezi kuziandika
mtu ana kipaji
anakufa zile video zikipotea
basi watu wanakaa wanasahau.
Pia ku-understand, yaani kufanya ule mziki
kutengeneza katika njia sahihi
Please, serikali ninaomba tena,
mrudishe music mashuleni.
Subtitles by the Amara.org community